Mapya anayetuhumiwa kumhonga waziri mil. 90/-

Mapya anayetuhumiwa kumhonga waziri mil. 90/-

MWEKEZAJI wa Kiwanda cha Kiluwa Steel kilichopo Kiluvya wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam, Muhamed Kiluwa anayetuhumiwa kumpa hongo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameachiwa kwa dhamana. Mkurgenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Nondo na bidhaa za chuma cha Kiluwa Steel Group Ltd. Muhamed Kiluwa akitoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kassim majaliwa baada ya kutembelea kiwanda chake. picha maktaba Jumatatu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ilidai ilimkamata mwekezaji…Detail

Gari la wagonjwa lakutwa limepakia matairi chakavu

GARI la kubeba wagonjwa la Wilaya ya Itilima mkoani hapa limepata ajali, huku ndani likiwa na matairi chakavu tisa, siku chache baada ya serikali kupiga marufuku magari hayo kupakia kitu chochote zaidi ya wagonjwa. Wananchi wakiangalia gari la wagonjwa la Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu lililopata ajali, huku likiwa limebeba matairi chakavu. PICHA: HAPPY SEVERINE Gari hilo lenye namba za usajili STK 6646, lilipata ajali hiyo majira ya saa 10 usiku kuamkia jana, katika eneo la Daraja la Mto Bariadi, katikati…Detail

Manara adai Yanga wameifedhehesha Tanzania, amuomba Rais Magufuli aingilie kati

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amedai kuwa klabu ya Yanga imeifedhehesha Tanzania nchini Kenya usiku wa kuamkia leo kwa kukubali kipigo cha goli 4-0. Haji Manara Manara akikazia hoja yake amesema Yanga wanatumia fedha nyingi za kigeni hovyo kwa miaka yote jambo ambalo halileti maana kwani klabu hiyo imekuwa ikivurunda kwenye michuano ya kimataifa huku akimuomba Rais Magufuli aingilie kati matumizi hayo mabovu ya fedha ndani ya klabu hiyo. “Mhe. Rais wangu wakati huu ukikimbizana na ujenzi…Detail

Mbunge WA CUF Ajivua Uanachama – Global Publishers

Mbunge WA CUF Ajivua Uanachama Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau Mkoa wa Tanga (CUF), amejivua uanachama wa chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa wa chama hicho na kujiridhisha na utendaji wa serikali ya awamu ya Tano chini na Rais John Magufuli. Aidha, Mwidau hajabainisha iwapo atajiunga na chama chochote cha siasa…Detail

Mange Kimambi Amtolea Uvivu Shiloleh

Mwanadada anaesifika katika mitandao kwa ajili ya kukososa na kutoa siri za wasanii na watu wengi marufu nchini Mange Kimambi amemtolea uvivu msanii wa bongo fleva Shiloleh baada ya msanii huo kumkosoa Muna love kwa kufanya press conference na kuelezea scenario ya kifo cha mtoto wake. Katika press hiyo ambayo muna aliamua kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Peter ambae ndie iliyesemekana kuwa ndie baba wa mtoto na kusema ukweli kuwa mtoto ni wa Casto, aliwagusa watu wengi akiwemo shihsi ambae alianza kumtu…Detail